Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 24,884
- 27,010
Na babu mwendo ni tariff vinginevyo tumuuzie nchi.Kmmk kwa upuuzi tunaofanya hii nchi kuja kuendelea kazi ipo.
Na babu mwendo ni tariff vinginevyo tumuuzie nchi.Kmmk kwa upuuzi tunaofanya hii nchi kuja kuendelea kazi ipo.
Kwa CCM wapo juu ya kila sheria campaign kwa ccm walisha zianza tangu 2023 ziara za kiserikali zinaunganishiwa na maswala ya kichama humo humoHivi kampeni zimeanza tayari? Kama bado, sio kosa kuanza kampeni mapema?
ndio ushangae, mtu ana wafuasi na amekwishawapaHivi ccm huwa hofu yao kubwa ni ipi? Maana hata ukifanyika uchaguzi wa huru na haki bado wana asilimia zaidi ya 70 kushinda kwa kishindo. Kuna vijiji huko ndani ndani hawaijui act wala chadema.
Wakiona wamezidiwa hoja wanatengeneza kesi mchongo kwa washindani wao,ndio maana hata walifanya teuzi za wagombea surpriseKwa CCM wapo juu ya kila sheria campaign kwa ccm walisha zianza tangu 2023 ziara za kiserikali zinaunganishiwa na maswala ya kichama humo humo
Kumbe mnaogopa bure kufanya mabadiliko na wapiga kura mnao wengi hivyo.Aisee!
BOx la haki wanaliogopa wanaweka box la amani mchongo kwa usimamizi wa policccm na chawa ccm tu kwenye chafuzi chaguzi?Sasa kama mnao wapiga kura wengi kwanini mama Samia asiweke box lenye haki ili ashinde kwa kishindo na wote tumpongeze mama yetu
Kama unaona rangi nyeupe kamione doktaMbona anarangi nyeupe nilitarajia nione njao na kijani au ndio kutoka kivingine?
Nani!??Kumbe mnaogopa bure kufanya mabadiliko na wapiga kura mnao wengi hivyo.