Jokate: Kila jambo na wakati wake

Labda awe na personal issue nae....but dada dada anapiga kazi balaa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Duh why! Jokate anafanya kazi nzuri hasa ya "advocacy". Amewahamasisha kwa kiasi kikubwa watoto wa kizaramo kwenda shule hasa wakike, anastahili pongezi. Kiongozi hapimwi kwa majengo anapimwa kwa kiasi gani ameweza kucreate awareness ya jambo fulani la manufaa katika jamii husika.

Kwanza kuna vetting at the first place?
 
I hope she stays or gets a better position.

She deserves it.
 
Anapiga kazi kupitia TV na insta....anajulikana sana

Hapo tu...

Kazi kupiga ni subjective

Plus,that bitch is,fvkc it,I hate her for the sake of it yaani!
😂😂😂 We mdau ni noma nimeamini unamchukia kikweli kweli huyu binti.

Huyumbishi maneno, huna unafki ni direct unafanya kazi yako ya CHUKI. Mkuu saluti kwako umefuzu vigezo vyote vya mtu mwenye chuki. Vipi ukimkuta eneo ambalo mko wenyewe tu huwezi kumdhuru kukiwa na nafasi hiyo??
 
Washarishwa matango pori na yule dada wa marekani,anayeshindwa kutafuta kazi hata ya mgahawani,yeye kutwa kuwasema wenzie mitandaoni,yy mwenyewe yupo yupo kama boya,wenyewe wamempa jina dada wataifa na yeye kajipa jina la mwanaharakati.Anamini kutoka ktk chanzo chake cha kipuuzi cha "hide my ID" ,Joketi alipata cheo cha chupi.

Basi wapuuzi wachache wasio jielewa kama sigara kali ana washa atakavyo mbele na nyuma wame mwamini.

Ila Jokate kaprove vitu vingi sana kwamba anaiweza nafasi ya uDC.
 
Hii inatupa nguvu wazazi kuwalea watoto wetu bila ubaguzi,huyu binti ameitendea vyema kisalawe now imechangamka sana.

Anastahili hongera na mafanikio mema kwenye maisha yake ya familia.
 
Mkuu

Ndio maana mkawepo nyie mnaompenda

Na sisi tusiompenda tupo,na ni kazi yetu kumchukia kama ilivyo kazi yenu kumpenda

Yaani I'm doing exactly what a hater is supposed to do,tena I'm very serious on my job,I dont play,I hate to daaaah maxxxx!
Duh
 
Hivi we ni mgeni na Wyatt eeh!?


Hampendi raia yeyote humu duniani


Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu

Ndio maana mkawepo nyie mnaompenda

Na sisi tusiompenda tupo,na ni kazi yetu kumchukia kama ilivyo kazi yenu kumpenda

Yaani I'm doing exactly what a hater is supposed to do,tena I'm very serious on my job,I dont play,I hate to daaaah maxxxx!
Duh we jamaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…