Looo elfu sabini ndio ameenda kwenye magazeti....hiyo pesa kweli Jokate yupo low hivyo anakubali kufanya kazi ya laki na nusu....duh
Hii tabia inabidi sheria ije haraka waache kusema uongo kama ni uongo....
huyo dogo aache kujipakazia kwa hivi ni kwanini wasanii wakitaka kutoka lazima wajipakazie uongo na kuwachafua watu majina