Jokate amuandikia Alikiba Barua kutoka kwenye sakafu ya moyo wake

Mbona kama kamtukana kwanza kamfananisha na beyonce,afu pili kasema bichwa lake.........mbona wengi waliohudhuria wanasema kiba hakufanya poa,au anamsifia kwa fiesta nyingine(labda ya kitandani)
 
Jokate nampenda sana ila ananidissapoint kua na huy kijana..umeona kauli yake ya kua mashabik wa kiba embu tumlazimishe huy kijana afanye tour tz nzima !!!maan yake n kwamba alikiba amegoma so jokate anaomba msaada jamani ...
Alikiiba anamuangusha jokate..
Mmh nataman waachane jamani
 
Kumsifia kimuziki ana ruhusiwa lakini kama ni yeye ndio alimvalisha kile kinguo, kilikuwa ni kibaya jamani. Yaani Mungu anamuona.

*hasa kuna watu utashangaa wanamsifia wanasema alipendeza! Hebu kuweni siriaz
Wanamsifia kinafki. Yani angekua ndo bwana angu ata kumtambulisha kwa marafiki sitaki. Nguo gani hyo
 
Kumsifia kimuziki ana ruhusiwa lakini kama ni yeye ndio alimvalisha kile kinguo, kilikuwa ni kibaya jamani. Yaani Mungu anamuona.

*hasa kuna watu utashangaa wanamsifia wanasema alipendeza! Hebu kuweni siriaz
Mh
 
Back
Top Bottom