Jokate amlipua Diamond

Asante sis kwa kunifanya nimekajua hako kadada mana nilikuwa nakasikia tu kumbe ukikamiliki hutadaiwa madera labda dau litakuwa Lexus,kuhusu kuwa yeye korongo nimesikia na ndo mana nikauliza, ila nimependa ushauri wako kuwa kama swala la korongo niwaulize wanawake wa familia yangu vizuri nitakapowaona au kusikia wanamahusiano na watu warefu kama lile lijamaa basi sitasita kuwauliza ili waniambie,asante Mungu akubaliki kwa kuwa na busara ya kichungaji
 

Ahsante kwa uelewa wako,karibu sana sadaka pia napokea.
 
Gpl bana...

Wagombaniiiiiishi

GPL, kazi yao kubwa ni kukaanga ubuyu na kuachia wenye meno watafune.

Huyo Jojo mwenyewe analalamikia mitandao kuwa ndio inamzushia kutembea na Kiba kisha papohapo anamhukumu Mondi, sasa sijui ametafiti vipi kutambua kama kweli ametamka au nayo ni kazi ya mitandao.
 
The same goes out to sumbai
Masuala ya kuja kumuita mdada wa watu makombo mbele yangu sitaki.
Sipendi dharau/kashfa zisizokuwa na kichwa wala miguu na sifurahii hata kidogo.
Siwezi kukukataza kumuita mtu makombo maadam unaona ndo linalokupendeza ila pliiz fanya hivyo ukiwa unawaquote wengine au andika sehemu yoyote unayojisikia ila sio uniandikie mie.
Tafadhali kwa hilo.

Nimekupotezea tu kule but maneno yako ya makombo sijayapenda, kama kutofautiana tuendelee tu kwenye u Kiba na u Diamond, kwengine tufanye stara


 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…