Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,432
huyu edzen before hapa alikua anafanya nini vile..............
ningekua mimi ningemuuliza why she is single
Huyu ezden kabla ya kuwa hapo tv1 (japo siwahi kuiangalia) alikuwa mtangazaji wa kiss FM na starTV hapa mwanza baadaye akawa mtangazaji wa timesFM hapo dar, ni mtangazaji machachali sana hususani upande wa kimombo!
hayaaaaaa nishampata si ndio mume wa Dida sura ilikua inakuja network zinakata
nilikiona hiko kipindi Tv1 kwanini hujawahi kuangalia tv1
huyu edzen before hapa alikua anafanya nini vile..............
ningekua mimi ningemuuliza why she is single
Haipo kwenye line ya cable yetu tunayotumia naskia ni nzuri hopely ipo siku nitaiyangalia!
Alikia kiss fm mwanza
Single ktk makaratasi lkn kiuhalisia siyo
huyu edzen before hapa alikua anafanya nini vile..............
ningekua mimi ningemuuliza why she is single
upo sahiihi kwa sasa kidoti anachapwa na king ZizI
King Zizi demu wake ni DAndy wa Clouds Fm
Ningekuwa mimi ningemuuliza hivi kama ikigundulika una boyfriend sex partner huyo mwanaume atajiweka kundi gani? is better to skip some Question. kwenye profile yangu ya Facebook iko kipengele nimekiruka.
King Zizi demu wake ni DAndy wa Clouds Fm
King Zizi demu wake ni DAndy wa Clouds Fm
Dandy ni nani mkuu.........