JOKAMEDIATZ ONLINE CAFE

JOKAMEDIATZ ONLINE CAFE

Allen j j

Member
Joined
Jun 24, 2019
Posts
10
Reaction score
1
JOKAMEDIATZ ONLINE CAFE
Kwa wahitimu wa kidato cha sita pamoja na diploma
Jokamediatz ni mtandao wa wanafunzi unaowaunganisha wanafunzi wa vyuo vyote tanzania.
Pia Jokamediatz inawasaidia wanafunzi kurahisisha mahitaji yao ya vyuo kwa njia ya online.
Kwa sasa Jokamediatz tunawasaidia wanafunzi waliomaliza kidato cha sita na diploma kufanya maombi ya mikopo (kukupatia fomu ya mkopo) na uhakiki wa vyeti bure kabisa na inasaidia wanafunzi hao kufanya application za vyuo au maombi ya vyuo bure kabisa.

NB: utalipia gharama za mantainance kwa ajiri ya matengenezo ya site kwa kwaajili ya data processing --->>>kuomba
mkopo (tsh 5000)
--->>>kuomba vyuo (tsh 3000)

Mwanafunzi ataweza kufanya application akiwa nyumbani au popote pale , mda wowote bila wasiwasi .kinachoitajika ni maelezo (details) yake ya chuo na elimu kwa ujumla.
Kwa maelezo wasiliana nasi
+255762447044 au +255655013517
Na utapata form ya mkopo ikiwa na details zako ndani ya dakika 10 tu.
Ili kujua details zinazohitajika kuweza kufanikisha kuomba mkopo kupitia jokamediatz bofya hapo chini
https://www.jokamediatz.com/games hakika utaifurahia Jokamediatz.

JOKAMEDIATZ LETS BUILD TOGETHER THE WORLD THAT CHANGING VERY FAST
Sambaza ujumbee uwafikie walengwa
 

Attachments

  • IMG-20190406-WA0013.jpg
    IMG-20190406-WA0013.jpg
    109.8 KB · Views: 21
It was mistake in writting and typing error
So worry out broo
 
Back
Top Bottom