Upo mji gani? Na uzoefu umeupataje? Kwa muda gani?Habari! Wana JF, Ujasiliamali, Mimi naujuzi wa kubuni na kushona mavazi ya kike, ila sina vitendea kazi so natafuta mtu wa kuweza kununua vifaa vya Garment tushirikiane kwenye biashara hiyo. Nawatakia wakati mzuri.
Habari! Wana JF, Ujasiliamali, Mimi nina ujuzi wa kubuni na kushona mavazi ya kike, ila sina vitendea kazi so natafuta mtu wa kuweza kununua vifaa vya Garment tushirikiane kwenye biashara hiyo.
Nawatakia wakati mzuri.
Yupo Dodoma mjini, amejifunzia Veta, uzoefu anao anafanya ufundi Wa kujitolea Kwa fundi mzoefu Wa fani hiyo.