survivor03
Senior Member
- Jan 10, 2012
- 131
- 21
Wakuu mambo vipi, mimi nina nyumba yangu ya kawaida yenye vyumba 11 na 2 baths iko simple ina uwa mkubwa kwa issue zengine.. kodi ninayo pata ni ndogo ss nilikuwa natafuta waungwana watakopenda tuingie joint venture kwa kuirekebisha vizuri ili tupate kuipangisha kwa kodi ya juu kidogo halafu kodi tutagawana nusu kwa nusu mpaka itapofikia kiwango tulichokubaliana. Nyumba iko maeneo ya Tuamoyo Kigamboni karibu na maeneo ya Mikadi Beach. Wakuu naombeni msaada wenu juu ya hii issue, ahsanteni. tuwasiliane kwa: PM, mobile +255715388666,email: mohdnass3@gmail.com.