Joining instructions

Joining instructions

Anselem mathew

Senior Member
Joined
May 17, 2017
Posts
107
Reaction score
66
Wakuu mambo vipi habarini za usiku napenda kuuliza hivi mbona joining instructions mpaka saiz hawanitumia kwenye profile yangu ili nianze kujiandaa mapema maana hali sio shwar kwa mambo ya daddy naomba bas anayefahamu chochote yjuu ya hilo
 
Wapigie nacte
 
Jaman kuuliza hvyo ni mhmu maana pesa sio daftar kuwa utapata dukan tunaomba watutumie maana watu tuna tofautiana uwezo wa kupata pesa Asante
 
Back
Top Bottom