kims wiles
New Member
- Jul 12, 2013
- 2
- 0
msaada wanajamii forum kwa anayejua joining instruction za form 5 lini zinatoka anisaidie maana mdogo wangu anataka kujua

zipo kitaa nying tu used tatizo hutak kusema anaend skul gan
minaki

Iyunga niliidownload kwenye website yao, jaribu kuwasiliana na hm uharakishe mambo akuwekee kwenye email.
Nacl tuwasilia nikutumie.namimi nmepangiwa huko.
zipo kitaa nying tu used tatizo hutak kusema anaend skul gan
Namie pia kigonsera sec sechool