Joining instruction za UDOM ingia hapa

Nacte mpaka Leo October 2 hawajatoa matokeo kwa waombaji baadhi was degree kwenye vyuo mbalimbali na sasa baadhi ya vyuo vinamtaka aliyechaguliwa kuliport tarehe za katkat mwez 10.ndg zang wan a forum EB npen ufahamu zaidi juuya hill.
 
Hizo taarifa Za 2012 so madogo msijibweteke kufuata hizo mchanganuo wa direct cost kwani sio za ukweli
 
Back
Top Bottom