Joining Instruction ya Msalato High School

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,234
Reaction score
8,523
Habari za weekend jamani..

Mtoto wangu amechaguliwa kwenda msalato high school sasa naitaji kupata joining Instruction ya hapo msalato kwa yoyote mwenye nayo ambayo iko update...
 
Hongereni wakuu.Hapo atakutana na vichwa wenzie,ni shule nzuri .
 
Habari za weekend jamani..

Mtoto wangu amechaguliwa kwenda msalato high school sasa naitaji kupata joining Instruction ya hapo msalato kwa yoyote mwenye nayo ambayo iko update...
Ingia kwenye account yangu utaikuta...search "Saidy Januzaj" ukishaniona fungua, kuna link nimeiweka mule shule zote zipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…