John Wick Chapter 2 ni balaa tupu

BJB FC

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2015
Posts
2,200
Reaction score
2,558
Aiseee ndo nipo naichek hii movie hapa......
Yan ni tatizo!!!!!!!!!Nimeshika remote,basi hapa home wanatamani wanipige.maana kila muda nurudisha nyuma kuangalia tena balaa analofanya!!!!!
Ndo kwaaanza dakika ya 34 lakin nishairate 5 star!!!!!!!

 
Kwa mwenye Link ya hii movie mp4 aiweke please
 
Haina ubalaa wowote,anafyatua risasi kama anachezeshwa kwenye game la mission
 
Aisee katika movie amabazo risasi zinamiminika kama makinikia ni hii. Hivi leo lazima niirudie.😀
 
CHIZI MUVI MWINGINE NAPATIKANA HAPA.EXTERNAL INA MUVI ZAIDI YA 200.....
 
Hio kitu ni hatari nawaza ikija chapter 3 itakuaje..
 
Nyie ndo hamjui muvi,ukiniambia john wick ya mwanzo ntakubaliana naww lakn sio upuuzi wa john wick 2
Ndugu katika hiyo movie John Wick ni trained assassin aliyebobea katika mapigano hayo na kama ni mfuatiliaji mzuri wa movie kama hizo jamaa alifanya trainning za kutosha katika kuigiza hiyo movie.Halafu kusema kama game je uliona kuna sehemu risasi imekunja kona au alikuwa anapigana kama Keanu Reeves wa matrix.Hujaona alivyokuwa anashonewa suit iliyo bullet proof,hujaona alivyokuwa anawafumua watu vichwa au hujaona mapigano ya mikono.Je ni kipi kimekufanya uone hiyo movie ni kama game?
 
Huyo jamaa huwa anaangalia muv kwa makengeza!!!!!
 
Dah naikubal sana john wick chapter 2,,,
Ni balaa mule ndan,,
Ukichek ile suit ambayo ni bullet proof,,

Sema naona kama kuna kitu wanajaribu kuki expose kwa watu hiviii,,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…