John Pombe Magufuli

Mzalendo nambari ONE.

Watanzania tulichelewa Sana kumpata kiongozi shupavu Kama uyu.

Viva JPM[emoji1][emoji106]
 
Sema mkuu wa nchi hata kabla hajaongea anatetemesha, sijui wale jamaa wanaokutana nae kwenye 18 zake katika ziara anazozifanya maswali ya papo kwa papo kutolea ufafanuzi na kuna sauti za wananchi ametutesa sana huyu baba yani na imagine tu naona huwa wanatamani hata kujichimbia kaburi wafeeee [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] just a joke
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…