Wapo wengine wanajulikana sana, na hapa jukwaani tuna wawili, Andrew Nyerere na Yericko Nyerere . Kaka yao Makongoro ni maarufu pia na anatajwa kurithi viatu vya Jakaya.
Kuwa na jina linalofanana la Nyerere, hakumaanishi ni mtoto wa mwalimu, mbona watu wengi tu wanafanana majina na hawana uhusiano wowote??Acheni ujuha mmeshupalia huyu jamaa huku mmeshaambiwa hana uhusiano wowote na familia ya mwalimu hilo ni jina tu kama majina mengine..RIP kamanda John Guido Nyerere.Wewe ndio hujui, hao waliokuambia wanaitwa akina nani nyerere? Huyu ni mtoto wa mwalimu na jina lithibitisha.
Ni ndo mwanajeshi wa kwanza kufariki kwenye hili Taifa ?? au mwana wa Jullius ?? wengine ndo tunatua hii ardhi sasa hivi...... mods hebu sogezeni hizi habari kwenye jukwaa la mambo mengine
Mbona kama una jazba???? Kama umekerwa si ufungue sehemu nyingine.... Au nawe una shida na jina Nyerere?????????????Ni ndo mwanajeshi wa kwanza kufariki kwenye hili Taifa ?? au mwana wa Jullius ?? wengine ndo tunatua hii ardhi sasa hivi...... mods hebu sogezeni hizi habari kwenye jukwaa la mambo mengine
Huyu Yericko Nyerere ni mtoto wa mwalimu, kama unashida na hilo nenda RITA au andamana.Kuwa na jina linalofanana la Nyerere, hakumaanishi ni mtoto wa mwalimu, mbona watu wengi tu wanafanana majina na hawana uhusiano wowote??Acheni ujuha mmeshupalia huyu jamaa huku mmeshaambiwa hana uhusiano wowote na familia ya mwalimu hilo ni jina tu kama majina mengine..RIP kamanda John Guido Nyerere.
haya kaka...na Stive Nyerere ni bandugu yao?Kuwa na utu kidogo ndugu, huyu ni kaka wa mwana JF mwenzetu Yericko Nyerere
Kuwa na utu kidogo ndugu, huyu ni kaka wa mwana JF mwenzetu Yericko Nyerere
haya kaka...na Stive Nyerere ni bandugu yao?
Naona unatafuta nikutukane ili nifungiwe, sasa nakuambia tukana unavyoweza ila Yericko Nyerere ni mtoto wa mwalimu kama inakukera na wewe jiite kipuyo NyerereNawe acha umalaya kwenye mambo ya msingi.
Uelezwe mara ngapi kuwa Yericko hana mahusiano yoyote na ukoo wa Burito?
Unahaha huku kote kwa faida ya nani?
Mwanadamu ye yote aliyezaliwa na mwanamke afahamu siku zake za kuishi siyo nyingi. Ni miaka 70 na kama ana nguvu ni miaka 80 na tena imejaa taabu. Mwili huyarudia mavumbi ambamo ulitoka lakini roho huenda hukumuni. Kwa aliyekuwa anamwamini Yesu anakwenda mbinguni na kwa wale waliomkataa motoni. Hakuna cha toharani. (Waebrani 9:27) . Fanya uamuzi sasa kwa kuwa hakuna mwingine mwenye mbingu isipokuwa Yesu Kristo.
Naona unatafuta nikutukane ili nifungiwe, sasa nakuambia tukana unavyoweza ila Yericko Nyerere ni mtoto wa mwalimu kama inakukera na wewe jiite kipuyo Nyerere