Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Wakuu
Ni muda kidogo sikuwasikia hawa jamaa wa CHAUMMA hadi nikawa najiuliza wameamua kula mafao baada ya kukifanya walichokifanya baada ya kuhamia huko, ila kumbe walikuwa likizo bhana.
John Mrema kupitia ukurasa wake wa X ameandika haya na kuahidi atarudi na mengine mengi zaidi ila cha kushangaza aefunga comment😂😂
===
Namshukuru Mungu nimemaliza likizo yangu ya siku 30 jana tarehe 29 Novemba,2025 ambayo niliisnza tarehe 29 Octoba mwska huu . Nimefanya tafakuri ya kina ya kilichotokea na kinachoendelea kutokea nchini .
Kuna swali kuu la kujiuliza kama taifa TULIJIKWAA WAPI? Ni maoni yangu kuwa tulipozuia siasa za vyama mwaka 2015 ndipo tulizalisha WANAHARAKATI hawa wa leo ambao GN-Z ambao walikuwa na miaka 8 ya kuzaliwa ,leo ndio wana miaka 18 na waliokuwa na 10 sasa wana 20 na wa 20 ndio wenye 30 leo .
Hawa walikuwa katika mazingira ya kusikia sauti ya upande mmoja (MAGUFULI) na kwa mbaali mtandaoni ndio walikuwa wanafuatilia space za WANAHARAKATI ......
Nilikuwa natafakari sana jambo hili na nitawashirikisha nilichojifunza na hasa kuhusu OMBWE HUJAZWA ..........." John Mrema, Nov 30, 2025