ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 556
sio kiafya tu na kupenda pia.Jkt sio kitu ndogo bro. inabidi uwe fit kweli.
Anyway nisimlaumu sana kwa sababu huwezi kwenda jeshini kama una sababu za kiafya.
sio kiafya tu na kupenda pia.Jkt sio kitu ndogo bro. inabidi uwe fit kweli.
Anyway nisimlaumu sana kwa sababu huwezi kwenda jeshini kama una sababu za kiafya.
Afadhali kamanda lema ameomba ambulance used kuliko kikwete alieomba toyo kwa wachina ndo ziwe ambulance kwa mama wajawazito....hivi masisiem akili zenu huwa zinakaa masaburini au??na yeye akapige picha mbele ya chopa halafu akaombe ambulance used kwa wabongo walio jichokea. Na chris mlisha mtibua sasa sijui nani atawasafirishia bure hayo makopo yenu .
Akimaliza kula maraha atarudi na kuwahamasisha muandamaneHivi yale maandamano anayohamasisha kamanda Mnyika ni lini tena?
Kila la kheri uko London
Ngoja nitoe ambulance nyingine
![]()
Safari zao mnazihesabu?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Used alizokopa JK deni hilo watalipa mpaka PANYA walioko kwao chilisosi na majebele ongeeni tu upuuzi humu jf wakati mnadaiwa,kila wakitoka waenda kukppa raslimali za nchi wananunua mahekali ughaibuni na kufanyia biashara ya mafuta,na Mtwara na Lindi wamepewa Wachina kwa kumkomboa Ritz nyie ropokeni tu wapumbavu nyie MSHAUZWA WOOTE NA MAMA ZENU PIA
na yeye akapige picha mbele ya chopa halafu akaombe ambulance used kwa wabongo walio jichokea. Na chris mlisha mtibua sasa sijui nani atawasafirishia bure hayo makopo yenu .
Safari zao mnazihesabu?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums