Plato
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 420
- 94
Wakuu,
Sasa ni dhahiri CHADEMA kimeanza kuwa kama CCM.
John mnyika amekuwa akisema kinafiki kuwa hagombei uenyekiti wa chama Ubungo. Ajabu ni kuwa juzi na jana viongozi wa chama na wabunge maarufu kama Mdee na Lema, wametumika kutishia watu wajitoe ili mnyinka apite bila kupingwa. Wamembambikiza agombee na Renatus Pamba Diwani wa Sinza.
Hapo ni mbali na mizengwe aliyofanyiwa katibu mwenezi aliyeshinda, ila akaambiwa hakupata zaidi ya nusu ya kura. Lakini kuna wengine wameshinda bila asilimia 50 na wameachwa.
Hapa ACT TANZANIA ikijipatia wanachama, tusilielie, tunayataka wenyewe.
Uchaguzi unaendelea.