Plato
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 420
- 94
- Thread starter
- #21
Hoyce,
mimi na wewe tunaijua hiyo katiba kanuni na vifungu vyake.tunachohoji hapa ni kwa nini double standard?
kurugenzi ya habari waweke taarifa hapa ni wangapi walichukua fomu kuomba uenyekiti mkoa. wangapi wamerudisha fomu na ambao hawakurudisha ni kwa nini?