This is the positive effect of Dr. Slaa.Wakazi wa jimbo la Kibamba watangaza rasmi kumng`oa MNYIKA, kutokana na kupungua kwa imani yao dhidi ya mgombea huyo. Wanadai amekuwa kimya sana katka kukemea ufisadi ndani ya chama chake kama alivyokuwa awali. Hivyo wamekuwa na mashaka nae na wapo tayari kumchagua mbunge mwingine tofauti na yeye.
Pole sana Mnyika.
Nani wa kuinua mdomo na kupinga ufisadi pale chadema
Mimi niko Kibamba na tuna imani naye. Yule mama wa CCM anafanya kusomba wacheza vigodoro. Ataisoma namba.Mnyika anachukua jimbo saa mbili za asubuhi
Gamba @ workWakazi wa jimbo la Kibamba watangaza rasmi kumng`oa MNYIKA, kutokana na kupungua kwa imani yao dhidi ya mgombea huyo. Wanadai amekuwa kimya sana katka kukemea ufisadi ndani ya chama chake kama alivyokuwa awali. Hivyo wamekuwa na mashaka nae na wapo tayari kumchagua mbunge mwingine tofauti na yeye.
Pole sana Mnyika.
Kama ahadi ya maji jimbo la ubungo alishindwa leo kibamba ndo ataweza? kamwe kura zetu hapati.