PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 354
- 395
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika akizungumzia tukio la kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti, Bara wa chama hicho, John Heche, leo Asubuhi Mahakamani alipofika kwa ajili ha kusikiliza shauri la uhaini linalomkabili Tundu Lissu.
"Kama kukamatwa kwake John Heche kunahusiana na taarifa ya Uhamiaji ni jambo la kusikitisha sana, Polisi kutumia taarifa ambayo si ya kweli ya uhamiaji kumkamata."
Pia soma> John Heche akamatwa akiwa Mahakama Kuu akijiandaa kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu