John Mnyika awasilisha ushahidi wizi BoT !!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

John Mnyika awasilisha ushahidi wizi BoT !!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by THE CHOICE, Jul 12, 2012.

 1. T

  THE CHOICE Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Makinda ataukalia huo ushahidi kama kawa.
   
 3. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni ule uliopelekwa kamati ya maadili au mwingine?
   
 4. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Yule mzinzi wa IRAMBA atulie tu tumnyoe taratibu mshamba mkubwa yule.
   
 5. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Join Date : 11th July 2012
  Posts : 4
  Rep Power : 0
  Likes Received 0
  Likes Given 0
  KARIBU MKUU CHOICE JAMVIN
   
 6. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  mbavu zangu..duh
   
 7. IFUNYA

  IFUNYA JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Spika hawezi kukubali maana ataona MwanaCCM mwenzake anaangamizwa. Haya tusubiri tuone matokeo.
   
 8. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #8
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Mbona yaleyale tu muweka thread anataka kuupaisha the choice yake.

  John John Mnyika awasilisha ushahidi wizi BoT !!!  [​IMG]
  Hatimaye Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika, amewasilisha ushahidi wa awali kwa Katibu wa Bunge, kuhusu tuhuma alizozitoa bungeni dhidi ya Mbunge wa Iramba Magharibi (CCM), Mwigulu Nchemba, kwamba ni mmoja wa watuhumiwa katika kashfa ya ukwapuaji wa mabilioni ya fedha uliofanywa katika Akaunti ya Malipo ya Nje (Epa) ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT).


  Hatua hiyo imechukuliwa na Mnyika kutekeleza maelekezo aliyopewa na Mwenyekiti wa Bunge, Jenista Mhagama, ambaye alimpa siku saba kuwasilisha ushahidi kuthibitisha kauli yake hiyo.

  Kauli hiyo ilitolewa na Mnyika katika kikao cha Mkutano wa Bunge unaoendelea hivi sasa mjini hapa, kilichofanyika, Julai 3, mwaka huu, katika mjadala kuhusu makadirio ya mapato ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma. Siku hizo ziliisha juzi.

  Kwa mujibu wa Mnyika, ushahidi huo aliuwasilisha kwa Katibu wa Bunge, mjini hapa juzi.

  "Kuhusu tuhuma dhidi ya Mwigulu Nchemba, ushahidi wa awali nilishawasilisha leo (juzi) ndani ya siku saba kama ilivyotakiwa," alisema Mnyika.

  Katika mkutano huo uliotawaliwa na mvutano, malumbano, hisia kali na maneno ya kashfa miongoni mwa wabunge, Mnyika pamoja na mambo mengine, alisema Nchemba aliwahi kuwa mtumishi wa BoT, ambayo ilikumbwa na kashfa hiyo na kwamba, naye ni mmoja wa watuhumiwa.

  Kauli hiyo ya Mnyika ilimfanya Mhagama kusimama na kumpa Mnyika siku hizo awe amewasilisha ushahidi wa kauli yake.

  Kwa upande wake, Nchemba wakati akichangia mjadala wa Bunge, alisema alijiunga na BoT mwaka 2006 wakati huo ukwapuaji wa fedha BoT ulikwishafanyika.

  Kwa upande wake, Kaimu Katibu wa Bunge, John Joel, alithibitisha kuwasilishwa kwa barua ya maelezo ya Mnyika.

  "Ni kweli tumepokea jana barua ya maelezo lakini Spika atawaelezeni kesho (leo)," alisema.

   
 9. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  someni hiyo barua ya mnyika kuitwa polis
   
 10. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160

  Hii inahusiana nini na kuwasilisha utetezi wa EPA?
   
 11. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Hamna lolote! Jamaa ametumia nafasi ili kuirusha ijulikane hiyo blog yake!
   
 12. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mnyika kachemka big tyme amewasilisha introduction letter spika ndungai kaeleza jioni hii na kuongeza kuwa ni kama kikaratasi cha kufungia maandazi kilichowasilishwa na Mnyika na haelewi ni ushahidi upi aliowasilishwa na mnyika kaiagiza kamati ya kanuni uadilifu na adhabu kukaa na kuijadili karatasi hiyo!!
   
 13. makoye78

  makoye78 JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 670
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimeona!
   
 14. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hawa magamba ndo staili ya kudili nao.
  Mahakamani watuhumiwa hawashitakiwi.
  Ni kuwaprovoke bungeni, wakija juu na "leta ushahidi" unapelekwa,
  bunge linageuka kidogo sehem ya mahakama.
  Ni bora kuliko kuunga hoja "mia kwa mia"
   
 15. a

  arinaswi Senior Member

  #15
  Jul 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  WHAT???? Au majimarefu kafanya ndumba proof ikageuka "kikaratasi cha kufungia maandazi'??? tujuzeni jameni wengine bado tungali maofisini hatuwezi kutizama tv/bunge.
   
 16. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #16
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  wanajmvi kwani ushahidi wa Lema kuhusu uongo wa Pinda umeishia wapi huko ofisini kwa spika si kutajaa maushahidi? kwa nni wabunge wanaotakiwa kutoa ushahidi wasikatae mpaka ushahidi wa awali haujatolewa?
   
 17. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #17
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kwani mlitaka ziwe karatasi ngapi?


  "narudi fb"
   
 18. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni mchezo wa kama baadhi ya vyuo vya elimu ya juu wakati wa kugombea uongozi wa selikari za wanavyuo ambapo wagombea either wanaandaa mamluki wa kuuliza maswali au watachomeka hoja ya kuvuruga hoja husika daaa
   
 19. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #19
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Du humu JF kiboko si mlisema MWIGULU kamsamehe MNYIKA? sasa haya mengine yanatoka wapi si km vile sisi wachangiaji ndio tunaliongoza BUNGE Tusijeichanganya nchi km walivyoiendesha Tunisia, Libya na Nchi za kiarabu kwa kusikiliza zaidi maoni ya kwenye Mitandao kuliko uhalisia wenyewe.
  Mbona USA, vitu km hivi havi-iingilii Serikali na CHINA wamepiga marufuku mitandao ya namna hii. Basi tuwe wakweli sio wachochezi
   
 20. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Naona Ngugai ameamua kudili na Mnyika kwa nguvu zote, utadhani ameagizwa na mkulu maana wote wanamachungu naye!!
   
Loading...