John Mnyika ashindwa kushiriki kazi za Kamati

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,375
Wadau, amani iwe kwenu.

Kuna wakati iliwahi kuripotiwa kuwa hali ya Mbunge wa Jimbo la Kibamba John Mnyika si nzuri. Kwamba, mwanasiasa huyo ambaye alijizolea umaarufu kutokana na uwezo wa kujenga hoja, hali yake ni tete. Ilielezwa kuwa Mnyika ana matatizo ambayo kimsingi ni vigumu kuyaelezea hasa kwa vile amekuwa akipoteza kumbukumbu mara kwa mara na wakati mwingine inakuwa ni vigumu kumwelewa nini anasema. Kwa ujumla ilielezwa kuwa Mnyika kachanganyikiwa. Baada ya taarifa hiyo, CHADEMA walikanusha ingawa baadaye ilikuja kuthibiti kuwa Mnyika ni mgonjwa.

Taarifa mpya juu ya mwanasiasa huyo ni kwamba hali yake imezidi kudorora kwa siku za karibuni na watu walio karibu naye wanasema kuwa kachanganyikiwa. Ingawa haijaelezwa chanzo halisi cha kuchanganyikiwa huko, baadhi ya walio karibu naye wanaona kuwa hali hiyo imejitokeza mara baada ya mchakato wa kumpata mrithi wa Dr Slaa kukamilika kule Mwanza. Kwamba baada ya mkutano wa Mwanza, hali ya John Mnyika imezidi kudororora kiasi cha kushindwa kushiriki vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge. Inadaiwa kuwa huenda hali hiyo imejitokeza tena kutokana na kukosa nafasi ya Katibu Mkuu ambayo alikuwa na matumaini makubwa kuwa ataichukua.

Wadau, ingawa jambo la afya ni la mtu ni binafsi, ila kwa vile Mnyika ni Mbunge na ana wafuasi wengi, ni vema chama chake kikaeleza kwa undani nini kinamsumbua mwanasiasa huyo machachari. Ninaamini kuwa ikiwa CHADEMA watabainisha nini Mnyika kinamsumbua, wapo wadau wengi watakaojitokeza kutaka kumsaidia na atarejea kwenye hali yake ya kawaida. Kuendelea kuficha ficha na kumficha kwa baba yake mdogo hakika haisaidii.
 
Taarifa yako ni muhimu sana. Lkn umeiandika ki-lumumba mno. Mnyika hakuwahi kuitamani nafasi ya ukatibu Mkuu wa chadema hata siku moja.
Kama anaumwa tuna muombea mungu amponye haraka ili arudi kwenye majukumu yake.
 
Mtoa mada hujui au? si katoka kumzika babake jamani? Na kabla ya hapo si alikuwa akiuguza?
Au wewe babako kafa kwa kumtoa kafara hivyo ulifurahia kufa kwake? Au mtoa mada hujui mnyika kafiwa siku za karibuni? Nguzo muhimu kwake ulitarajia furaha na afya iwe njema? Ebu angaliaga na mada za kuanzisha siyo kugusa adi wafiwaaaa
Tunza akili yako mbovu

Hiyo 1 piliii Leo mnyika alikuwepo na kueleza kuwa kutoonekana kwake ni kutokana na matatizo ya kifamilia
Hujui, hujatafuta taarifa vizuri unakurupuka kusema wafiwa
 
Sio vizuri kusherehesha afya ya mwenzako, je ni kweli huyu bwana anaumwa?
Hakuna anayesherehekea kuumwa kwa mnyika. Kinachotatiza ni jinsi wanavyoficha ugonjwa wake. Wakati Kikwete anaumwa Tezi Dume, alibainisha nini kinamsumbua na sasa anaendelea vema. Naamini kuwa hata hili la Mnyika kama litabainishwa anaweza kupata matibabu stahiki. Matibabu mengine ni ya kisaikolojia tu
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kuna wakati iliwahi kuripotiwa kuwa hali ya Mbunge wa Jimbo la Kibamba John Mnyika si nzuri. Kwamba, mwanasiasa huyo ambaye alijizolea umaarufu kutokana na uwezo wa kujenga hoja, hali yake ni tete. Ilielezwa kuwa Mnyika ana matatizo ambayo kimsingi ni vigumu kuyaelezea hasa kwa vile amekuwa akipoteza kumbukumbu mara kwa mara na wakati mwingine inakuwa ni vigumu kumwelewa nini anasema. Kwa ujumla ilielezwa kuwa Mnyika kachanganyikiwa. Baada ya taarifa hiyo, CHADEMA walikanusha ingawa baadaye ilikuja kuthibiti kuwa Mnyika ni mgonjwa.

Taarifa mpya juu ya mwanasiasa huyo ni kwamba hali yake imezidi kudorora kwa siku za karibuni na watu walio karibu naye wanasema kuwa kachanganyikiwa. Ingawa haijaelezwa chanzo halisi cha kuchanganyikiwa huko, baadhi ya walio karibu naye wanaona kuwa hali hiyo imejitokeza mara baada ya mchakato wa kumpata mrithi wa Dr Slaa kukamilika kule Mwanza. Kwamba baada ya mkutano wa Mwanza, hali ya John Mnyika imezidi kudororora kiasi cha kushindwa kushiriki vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge. Inadaiwa kuwa huenda hali hiyo imejitokeza tena kutokana na kukosa nafasi ya Katibu Mkuu ambayo alikuwa na matumaini makubwa kuwa ataichukua.

Wadau, ingawa jambo la afya ni la mtu ni binafsi, ila kwa vile Mnyika ni Mbunge na ana wafuasi wengi, ni vema chama chake kikaeleza kwa undani nini kinamsumbua mwanasiasa huyo machachari. Ninaamini kuwa ikiwa CHADEMA watabainisha nini Mnyika kinamsumbua, wapo wadau wengi watakaojitokeza kutaka kumsaidia na atarejea kwenye hali yake ya kawaida. Kuendelea kuficha ficha na kumficha kwa baba yake mdogo hakika haisaidii.
Ndo hivyo ndugu. Hali ya mbunge Mnyika si nzuri. Nawashangaa sana CHADEMA wanavyoendelea kuficha
Hoja ya kipumbavu toka kwa mpumbavu kweli kweli.
 
Kwa sasa habari ya mujini ni wabunge wa ccm kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za rushwa
 
Kama anakuwaga na tatizo hilo mda mrefu kukosa ukatibu mkuu sio chanzo tusubir ukweli kama anaumwa serious
 
Kama ni kweli itathibitika muda si mrefu. Pengine ameshindwa kutokana na kupata msiba wa kufiwa na baba yake.
Inawezekana. Ila hili la kuchanganyikiwa ndo linatatiza. Nini hasa kinasababisha achanganyikiwe? Tena hii inajitokeza kwa mara ya tatu sasa
 
Lizaboni mbona unapenda kutumia maswala ya ugonjwa kujenga hoja zako?
Anataka kututoa kwenye reli ya kuendelea kujadili aibu ya wabunge wa ccm kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za rushwa
 
Back
Top Bottom