mwanatanganyika
Member
- Dec 10, 2011
- 7
- 1
Ndugu wana JF,
Kwa upande wangu nimemchagua ndugu JJ MNYIKA kuwa mwanasiasa wangu wa mwaka 2012 kwa kuwa ameonyesha ukomavu wake mkubwa kwenye siasa na kuwafikia wananchi wake kwa karibu na kutambua matatizo yoa na kuwapigania pia mfano mzuri ni kuhusu hujuma za TANESCO na lile la kiwanda cha URAFIKI.
Je wewe mwana JF unaisi nani mwanasiasa wako bora wa 2012?