John Mnyika aelezea hisia zake baada ya maamuzi ya Mahakama kuhusu mgawanyo wa mali

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
654
Reaction score
1,598

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliotaka kuruhusiwa kuendelea na shughuli za kisiasa, baada ya zuio lililowekwa kutokana na kesi ya mgawanyo wa mali za chama hicho.

Akizungumza baada ya uamuzi huo Agosti 18, 2025, Wakili wa CHADEMA, Hekima Mwasipu, amesema walitarajia Mahakama ingetengua amri ya awali ya Juni 10, 2025, iliyozuia Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa chama hicho kufanya shughuli za kisiasa pamoja na matumizi ya mali za chama.

Soma Pia: Mahakama yatupilia mbali maombi ya bodi ya wadhamini CHADEMA. Kesi yapigwa tena Kalenda hadi Agosti 28

Ameongeza kuwa, baada ya amri hiyo, mawakili waliwasilisha maombi mapya wakiiomba Mahakama itengue uamuzi huo kwa maelezo kuwa haukuzingatia misingi ya kisheria na kwamba wateja wao hawakupata haki ya kisheria ipasavyo, hata hivyo, maamuzi yamekuja vinginevyo.
 
Chadema waache kuvunja katiba ya chama chao
 
Naomba kufahamu, hoja ya mgawanyo wa mali, yaani mali zigawanywe kwa nani na nani?
 
ZAnzibari wanadai nini na chama hakijafutwa?

Msajiri anatengeneza mazingira ya kuifuta chadema, sheria ya vyama vya siasa inataka chama kiwe na wanachama pande zote za muungano.

Mtikila aliwahi kupinga hili lakini mwisho alikubali ili apewe usajiri wa DP.

Hao wazanzibari wanamdai nani na kwanini wakati chama bado kipo na kinafanya kazi?
 
Mahakama zetu ni bendera fuata upepo ni useless zote, hazina mamlaka zaidi ya kupelekeshwa kwa maslahi ya Wachache, hopeless kabisa
 
Inawezekana masela wameanza kumvutisha bangi Lissu? Maana leo alikuwa na wenge kali sana kama la BCBG, atatoka chizi kabisa
 
Back
Top Bottom