John McCain: Should we let our enemies win,or our friends win...

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
736
The Senator's address..(?congress)

Talking about Syria... and as we all know the US Government has been supporting Syrian government,which in turn it has been blamed by its people for oppressing its citizen.

Source: Press TV- Iran
 
Kusema ukweli ni kwamba hawa wanaoitwa wanamageuzi wanazipeleka nchi zao katika hali mbaya zaidi kwani zinaenda kutawaliwa kwa utawala wa kisharia unaowakandamiza wanawake na Wakristo katika nchi hizo wataishi kwa shida sana. Tunaona Misri sasa muslim brotherhood ndo wanashikilia nchi. Huko Libya jamaa wa NTC nao wanataka utawala wa sharia.
 
Sawa.. Lakini hazikosekani njia za kuwa-condemn wenye kuendesha nchi zao hivyo.. Kuliko kuingilia kabisa siasa zao na kutaka kuichagulia nchi isiyo yako serikali.. Mimi haiiniingii akilini kabisa kama suala la kawaida.

Tena McCain amenukuliwa kwenye hiyo footage zaidi ya mara tatu.. Nimeipata kwenye Press TV (Iran)
 
Na inasemekana NATO inataka kuintervene mambo ya Syria. Inapeleka silaha ambazo zinatumika kunyanyasa raia wa nchi hiyo.
Na sasa inasemekana inataka hata kupeleka ground troops kwa Syria.

NATO inashirikiana na baadhi ya nchi za Kiarabu katika kutekeleza mpango/mipango hiyo!
 
Back
Top Bottom