John Magufuli Utotoni

John Magufuli Utotoni

Malezi katika familia za kawaida hasa hapa Tz, ni familia yenye hadhi ya kutupatia rais kwani si mabwanyenye
 
12036448_1254213211271534_8969498597003423159_n.jpg

Cheki hatua alizokulia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, ni mtoto wa mkulima, ni maisha ya kawaida, ndio maana anazijua shida za Watanzania, Mpe Kura yako John Pombe Joseph Magufuli.

Na Mr Chin
Siyo sifa kuwa maskini kwani ukimwangalia kama ni yeye kweli hana viatu na mchafu. Maana yake ninini? Alikuwa kwenye hatari ya kupata safura na jamii nyingine ya minyoo kwa kutokuvaa viatu. Hii inaleta athari kwa ukuaji wake ambayo ingemletea kudumaa hivyo hata akili yake itakuwa imeathirika kwa udumavu uliochangiwa na umaskini. Si ajabu hata leo akisema raisi wa Kuwait ni Saddam. Si jambo la kujivunia kabisa. Jamani umaskini mbaya. Angalia jinsi maskini wanavyopata taabu. Hawana uhakika wa mlo, elimu, afya, maji, barabara na kadhalika. Ewe mdau hebu usijiangalie wewe ambaye umeweza kupata mahitaji muhimu halafu umwangalie jirani yako ambaye anaishi maisha duni na kila siku anapewa ahadi zisizo na utekelezaji eti maisha bora kwa kila mtanzania. Maisha yapi? Sasa hivi tunaambiwa HAPA NI KAZI TU kazi wapi bila elimu, kazi wapi bila lishe? kazi wapi bila maji? tusidanganyane tuwe makini na tuchukue hatua baada ya kutafakari.
 
Umaskini au utajiri siyo kigezo cha kupewa madaraka kwa hali ya maisha ya Mtanzania. Tunahitaji kiongozi muadilifu, mfuatiliaji, mchapakazi na mwenye uchungu na maisha yetu. Awe na afya imara itakayomuwezesha kutekeleza majukumu yake vizuri, asiwe kiongozi mwenye afya dhaifu majukumu yake yakatekelezwa na watu wengine, kama majukumu yake yatatekelezwa na watu wengine bora hao watu wajitokeze hivi sasa ili tuwachague tu saivi
 
Ukimwona Lowassa utotoni na lubega utasemaje sasa? Hiyo ya Magufuli umechapia sana, kwao walikuwa maajiri sana wa ng'ombe hawezi akawa amechakaa hivyo. Halafu hiyo picha mbona ya wakimbizi wa Rwanda wakati wakiwa Ngara!!
 
[h=3]
12036448_1254213211271534_8969498597003423159_n.jpg
[/h]
Cheki hatua alizokulia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, ni mtoto wa mkulima, ni maisha ya kawaida, ndio maana anazijua shida za Watanzania, Mpe Kura yako John Pombe Joseph Magufuli.

Na Mr Chin

Wewe nawe! Kama hiyo ndo hoja Makamba na chama chake waangepatia Matonya ubunge wa kuteuliwa alau enzi hizo
 
Ni kweli ila inatisha na inatia huruma...elimu aliyoipata kama tungukuwa na shule bora asingekuwa anacorumbika leo...ila nina dukuduku na picha hiyo kwani enzi zao hakukuwa na coloured pics
 
Hiyo picha ni uongo kipindi ye mtoto hakuna picha za rangi
 
Alikosea kufurama majukwaani, na kuwaacha watanzania wayaone makalio yake!

Huku Kaskazini hasa KILIMANJARO! Kuonyesha makalio vile tunaita NGUMA, that is a taboo!
 
12036448_1254213211271534_8969498597003423159_n.jpg

Cheki hatua alizokulia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, ni mtoto wa mkulima, ni maisha ya kawaida, ndio maana anazijua shida za Watanzania, Mpe Kura yako John Pombe Joseph Magufuli.

Na Mr Chin
So what..?!!
 
Back
Top Bottom