[h=3][/h]![]()
Cheki hatua alizokulia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, ni mtoto wa mkulima, ni maisha ya kawaida, ndio maana anazijua shida za Watanzania, Mpe Kura yako John Pombe Joseph Magufuli.
Na Mr Chin
mi hata lowasa afe leo,nitalipigia kura jeneza lake na siyo ccm
mi hata lowasa afe leo,nitalipigia kura jeneza lake na siyo ccm
Wa Tanzania mmelogwa nani alisema umaskini ni sifa ya uraisi? we want some one who think big.![]()
Cheki hatua alizokulia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, ni mtoto wa mkulima, ni maisha ya kawaida, ndio maana anazijua shida za Watanzania, Mpe Kura yako John Pombe Joseph Magufuli.
Na Mr Chin
[h=3][/h]![]()
Cheki hatua alizokulia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, ni mtoto wa mkulima, ni maisha ya kawaida, ndio maana anazijua shida za Watanzania, Mpe Kura yako John Pombe Joseph Magufuli.
Na Mr Chin
Kwahiyo kuwa mchafu ndio sababu tosha ya kujua kuwa unajua matatizo ya walalahoi na kufaa kuwa mtawala wao? Hahahahahahahahaaaa ni shidaaaaaaaaa
milembe inakuhusu.mi hata lowasa afe leo,nitalipigia kura jeneza lake na siyo ccm
uongo mwingine huu, zamani kulikuwa na picha za rangi?
Kama ungekuwa mzalendo ukijua kila mtanzania anauamzi na uhuru wake usingeandika hayo, wewe ni mkimbizi rudi kwenu.Mpe Wewe Na Hawala Wako, SISI WAZALENDO WA TAIFA HL KURA ZOTE KWA LOWASA, KWISHINEY, Maana Hakuna Namna Nyingine
Mchafu niyule anae jinyea akiwa mtumzima weweKwahiyo kuwa mchafu ndio sababu tosha ya kujua kuwa unajua matatizo ya walalahoi na kufaa kuwa mtawala wao? Hahahahahahahahaaaa ni shidaaaaaaaaa
Ili taifa liwe la majizitu etiTunamtaka tajiri atufundishe jinsi ya kupata utajiri. Udongo wa karibu na waridi nao wanukia atiii
Hata upigie Fuvulake RAIS MAGUFULImi hata lowasa afe leo,nitalipigia kura jeneza lake na siyo ccm
milembe inakuhusu.
Kamanda picha za zamani mbona sasa zinapigwa zinakuwa za rangi unachopinga nini sasa?uongo mwingine huu, zamani kulikuwa na picha za rangi?