Wana jamvi ktk hali ya kujiamini kupita kiasi,mbunge wa ccm John Komba kumshambulia jaji mstaafu Mzee Warioba kwa matusi na kejeli ya wazi,je huu ndio utanzania tunao uhitaji kwa sasa?Ndio maadili yetu?Na kuna baadhi ya watu wanashangilia,kwa mtazamo wangu naona ni njia ya kulipasua taifa letu ki maadili.
Huyu Bonge nyanya KOMBA anadhani akienda msituni ataenda kujifunza kuimba kwaya:disapointed:
yeye anajionaaa bab kubwa kutungia ccm miziki yake ya kibana puaaa tuuKiuhalisia ni kama wewe ungetukanwa na mtoto wa miaka mitatu, unaishia kumsamehe tu maana hajui alitendalo yawezekana matusi atakayo kutukana anacopy kwa mzazi wake na kupaste kwako bila kujitambua
OS ya Komba ni pirated, haina security features zozote, kila kinachoingia kinachukuliwa kuwa ni powuwa,
Kama vyeti vyake vya shule vikiwa re-graded leo hii, Komba ni Div V, alipaswa kuwa amekaa kibarazani anajipaka wanja na ina tu, sanasana akiimba taarab, mhurumieni hajitambui, wenyekulaumiwa ni wapigakura wake. hawakupima utashi wake
Warioba anaheshimika kimataifa, hivi tumsikilize Konba kwa mchango upi alioutoa kwa nchi hii, kama ni uimbaji, basi nadhani hajatokea mwimbaji aliyemzidi Hayati Marijan Rajabu
Komba ajitokeze hapa atwambie ni lipi analojivunia kuwafanyia watanzania au walimwengu akijilinganisha na Warioba au Marijan Rajab?
na tumbo lile unadhan kuna kitu tumboni!
kwa unene ule,hawezi kuwa na akili timamu,asilimia kubwa ya mabonge dizaini ile ni matahila,nenda pale shule ya sinza maalum uone.Wana jamvi ktk hali ya kujiamini kupita kiasi,mbunge wa ccm John Komba kumshambulia jaji mstaafu Mzee Warioba kwa matusi na kejeli ya wazi,je huu ndio utanzania tunao uhitaji kwa sasa?Ndio maadili yetu?Na kuna baadhi ya watu wanashangilia,kwa mtazamo wangu naona ni njia ya kulipasua taifa letu ki maadili.
kwa unene ule,hawezi kuwa na akili timamu,asilimia kubwa ya mabonge dizaini ile ni matahila,nenda pale shule ya sinza maalum uone.
Hata wataalam wanasema majitu yalio mengi yenye matumbo makubwa uwezo wao kiakili ni mdogo sana. Sasa huyu jamaa kujilinganisha na Jaji Warioba ni matusi makubwa. Aendelee kucheza na watoto wadogo ukuti ukuti....