John Komba Atimua Kitambi Chake

PAYE zetu hizo wanazitumbua hapo kizota. 2015 piga chini hawa watu
 
Posho ilikuwa sh.ngapi kwa kila mjumbe?
 
DAH! kumbe ile mirabaha ya kwenye madini ndio inatumbuliwa huku!?
 
Ha ha ha.. waona kabisa shati hilo.. mita tano za kitambaa zimeenda hapo kwa ajili ya kufunika tu kiriba tumbo.. Ukitaka kiishe hicho akae Sega dance wiki tu..
 
Kiishe wapi hilo ni dera limekificha tu. Kitambaa cha shati lake moja unatengezena shuka moja la nane kwa nane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…