H Hollyman JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 283 Reaction score 77 Mar 12, 2014 #1 leo kuptia redio one mshangiliaj wa yanga john jambele kadanganya watz kuwa yanga imecheza na makame bingwa wa dunia
leo kuptia redio one mshangiliaj wa yanga john jambele kadanganya watz kuwa yanga imecheza na makame bingwa wa dunia
T Truth Matters JF-Expert Member Joined Apr 12, 2013 Posts 2,633 Reaction score 5,615 Mar 12, 2014 #2 Kumbe? Al ahly si walifika fainali na Bayern au?
H Hollyman JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 283 Reaction score 77 Mar 12, 2014 Thread starter #3 tunayaambia majitu unapo toa facts kwa umma hakiksha una uhakika google raja cassablanca vs bayenn afu uje na jb hapa
tunayaambia majitu unapo toa facts kwa umma hakiksha una uhakika google raja cassablanca vs bayenn afu uje na jb hapa
H Hollyman JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 283 Reaction score 77 Mar 12, 2014 Thread starter #4 sasa mtu unasifia yanga kutimua makocha then unaiponda simba kwa kosa hlohlo jambele iga bas kutoka kwa edo kumwembe.
sasa mtu unasifia yanga kutimua makocha then unaiponda simba kwa kosa hlohlo jambele iga bas kutoka kwa edo kumwembe.
Gamaha JF-Expert Member Joined Jul 17, 2008 Posts 3,946 Reaction score 5,088 Mar 12, 2014 #5 Mkuu hamna msamiati wa FACTS katika vichwa vya watanzania ndio maana hata Rais anadanganya watu hawashtuki, mawaziri wanadanganya hamna anayeshtuka Waziri Mkuu hivyo hivyo unategemea nini.
Mkuu hamna msamiati wa FACTS katika vichwa vya watanzania ndio maana hata Rais anadanganya watu hawashtuki, mawaziri wanadanganya hamna anayeshtuka Waziri Mkuu hivyo hivyo unategemea nini.