John Heche: Leo Saa Nane tutazungumza na Watanzania, CCM imeshindwa kuiongoza Nchi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tanganyika, John Heche, amesema leo saa nane mchana watatuma ujumbe kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari, akisisitiza kuwa nchi inahitaji uongozi thabiti huku akieleza wazi kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kuiongoza nchi.

1751277357509.png

View: https://www.youtube.com/watch?v=s6bdRAoBwO0
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tanganyika, John Heche, amesema leo saa nane mchana watatuma ujumbe kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari, akisisitiza kuwa nchi inahitaji uongozi thabiti huku akieleza wazi kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kuiongoza nchi.

Bado dakika 55
 
Waachane na press, wafungue kesi mahakamani kudai uchaguzi usitishwe, watumie mifumo ya kisheria iliyopo, press conference haziwezi kuwapa wanachotaka
Mahakama hizi hizi?
Kama unadhani watapata haki kisutu haupo sawa
 
Waachane na press, wafungue kesi mahakamani kudai uchaguzi usitishwe, watumie mifumo ya kisheria iliyopo, press conference haziwezi kuwapa wanachotaka
Halafu kesi apangiwe mheshimiwa sana Jaji Hamidu Mwanga
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tanganyika, John Heche, amesema leo saa nane mchana watatuma ujumbe kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari, akisisitiza kuwa nchi inahitaji uongozi thabiti huku akieleza wazi kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kuiongoza nchi.

Kwa maoni yangu wafungue kesi nyingi za Kupigania haki za chama Chao kufanya shughuli za kisiasa, pia wahamasishe wanachama moja moja kufungua kesi dhidi ya waliofungua kesi kuzuia shughuli za chama Chao.
 
Back
Top Bottom