Hahahaaa. Sio CHAUMMA? CHAUMMA CHA UPEPO, UKIPITA NACHO KINAPOTEAView attachment 3340618 Kama Chadema kuna mtu anamuelekeo wa kuwa akiwa Rais mambo yatanoga basi ni John Heche huyu jamaa anazungumza fact nzuri kabisa za kisiasa na zinawateka wananchi ila kitu kinachomharibia yupo pahala sipo.
Na hapo alipo inamsababishia kuzungumza mambo yanayofuata bendera ila akitulia huwa anawabomoa CCM vibaya sana.
Kama Lissu amevuruga basi amevuruga maisha ya wengi sana sana, hivyo kuendelea na siasa ni bora mtu ahame.
John Heche jiunge na Zitto Kabwe, nina unabii unaniambia mnashinda uchaguzi.
No Reforms No ElectionView attachment 3340618 Kama Chadema kuna mtu anamuelekeo wa kuwa akiwa Rais mambo yatanoga basi ni John Heche huyu jamaa anazungumza fact nzuri kabisa za kisiasa na zinawateka wananchi ila kitu kinachomharibia yupo pahala sipo.
Na hapo alipo inamsababishia kuzungumza mambo yanayofuata bendera ila akitulia huwa anawabomoa CCM vibaya sana.
Kama Lissu amevuruga basi amevuruga maisha ya wengi sana sana, hivyo kuendelea na siasa ni bora mtu ahame.
John Heche jiunge na Zitto Kabwe, nina unabii unaniambia mnashinda uchaguzi.
heche is overratedView attachment 3340618 Kama Chadema kuna mtu anamuelekeo wa kuwa akiwa Rais mambo yatanoga basi ni John Heche huyu jamaa anazungumza fact nzuri kabisa za kisiasa na zinawateka wananchi ila kitu kinachomharibia yupo pahala sipo.
Na hapo alipo inamsababishia kuzungumza mambo yanayofuata bendera ila akitulia huwa anawabomoa CCM vibaya sana.
Kama Lissu amevuruga basi amevuruga maisha ya wengi sana sana, hivyo kuendelea na siasa ni bora mtu ahame.
John Heche jiunge na Zitto Kabwe, nina unabii unaniambia mnashinda uchaguzi.
Nani kakutuma?.View attachment 3340618 Kama Chadema kuna mtu anamuelekeo wa kuwa akiwa Rais mambo yatanoga basi ni John Heche huyu jamaa anazungumza fact nzuri kabisa za kisiasa na zinawateka wananchi ila kitu kinachomharibia yupo pahala sipo.