Alianza Chipaka,akaja Mtikila akakataa kumfagilia JK akatoa siri kuwa wanaitwa na kupewa mshiko baadaye tukamsikia Mrema na sasa Cheyo najiuliza ni kwa nini hawa viongozi wa vyama pinzani choka mbaya ghafla bin vuu wameanza kuimba wimbo wa kumsifu JK na kwanini wasimsifu siku za nyuma,hii chai ya ikulu inawafedhehesha kwa kiongozi anayeongozwa na njaa na si busara ni hatari kwa nchi yetu ,viongozi wa sampuli hii ya kurubiniwa na wale wanaorubuni hawafai kutuongoza,kiongozi haifai aongoze kwa ghiriba.Akina Chipaka,Mrema,Cheyo wakati wao umeshapita