John Boko ajiunga na atimu ya Taifa Afrika Kusini

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,945
Aman iwe nanyi wakuu katika bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Habali kamili

Yule kiuongo machachali aliyejiunga na simba akitokea azam john bocco ameitwa upes na haraka haraka sana south africa kwenda kuongeza nguvu katika timu ya tanzania hiyo imetokea baada ya mushambuliaj mmoja aitwaye mubarrak kushindwa kabisa kwendana na hali ya hewa ya south ambayo ni ya baridi kinoma hivyo atakaa bench na nafas yake anaenda kuchukua huyo john bocco ambaye ni sumu yaan hutema sumu zaid ya koboko

Kwa safu ya ushambuliaji ya sasa yaan bocco na magur hao jamaa wa zambia wajiandae kulimia meno maana hao wasukuma huwa wanapiga booll kama hawana akili vile, lakin tu nawaomba wasiwe wanaombana pas kwa kisukuma watawachanganya wenzao akina msuva na kichuya ambao ni wa morogoro

Nawasilisha

LONDON BABY
 
Mkuu uwe unajitahidi kuandika vizuri bhana, we kila thread ukiandika lazima ukosee, halafu mbona ukabila?
Tokea lini Elias Maguli kawa msukuma?
Andika kitu chenye kutafakarisha mkuu.
 
Huwa nashindwa kabisa kuwaelewa makocha wanaomuita Bocco katika vikosi vya Stars...
 
Huwa nashindwa kabisa kuwaelewa makocha wanaomuita Bocco katika vikosi vya Stars...
Kwa mfano...

Baada ya kutokuwapo kwa Samatta na sasa Majeruhi mwingine kapatikana, unashauri nani angeitwa kuchukua nafasi ya ushambulizi ?
 
Tunashukuru kwa taarifa mkuu ila siku nyingine ukitaka kuleta uzi fanya upembuzi yakinifu kwa taarifa yako boko sio kiungo na pia swala la uandishi,naomba ufanye mazoezi ya kutosha kwani unaandika vibaya mno.
 
Lakini kaa ukijua bocco hawezi cheza COSAFA,ameitwa ili ajiandae na kombe la CHAN.
 
Back
Top Bottom