John Allen Muhammad execution set for Nov. 10 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

John Allen Muhammad execution set for Nov. 10

Discussion in 'International Forum' started by Ndjabu Da Dude, Sep 17, 2009.

 1. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,652
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Yule Mnugu muuaji aliyesilimu John Allen Muhammad, ambaye alitingisha miji ya majimbo ya Virginia, Maryland na DC mwaka 2002 kwa mauaji ya kikatili pamoja na dogo Lee Boyd Malvo (ambaye alipewa kifungo cha maisha) hatimaye apangiwa tarehe ya kutekelezwa hukumu ya kifo.


  [​IMG]

  Sniper killer John Allen Muhammad given execution date


  16/09/2009

  John Allen Muhammad, the man behind the 2002 Washington DC sniper attacks, was today told he will be executed on November 10.

  Muhammad was sentenced to death for the murder of Dean Meyers, one of 10 people shot dead during the shooting rampage.

  His teenage accomplice Lee Boyd Malvo is serving life in prison for his part in the attacks.

  The pair killed six people in Alabama and Louisiana before moving on to Maryland, Washington and Virginia.

  Mr Meyers was shot at a petrol station in Manassas, Virginia.

  Muhammad's lawyer Jonathan Sheldon said his client will appeal to the US Supreme Court and ask the governor for clemency.
   
  Last edited by a moderator: Sep 17, 2009
 2. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  mbona kila muuaji mnataka kumuusisha na dini yake ya kiislamu wakati wauwaji wengine wa dini zingine wakiua wala dini zao hazizungumziwi?
   
 3. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2009
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa mwenyewe keshasilimu na kuijiita momhamed afanyweje sasa.
   
 4. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  swali ni kwanini akiua muislamu dini yake inatumika kama kigezo cha kuua wakati watu wa dini zingine wengi wanaua lakini dini yao haitumiki kama kigezo cha kuua?
   
 5. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,652
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Jibu la swali lako kwa kifupi ni: kwenye dunia ya leo, Ugaidi = Uislamu. Period.

  Halafu unaelewa lakini uhalifu aliyofanya huyu jamaa? Pure terror, dude! Watu wazima walikuwa hawaendi makazini, watoto hawaendi mashuleni, hadi jamaa alipokamatwa. Ugaidi wa kutisha usiyo na kifani!
   
Loading...