Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 15,921
- 14,821
Jamani Tasnia ya Bongo Movie haiishi Vituko. .. kila kukicha lazima kuna kiki
Weekend ilikuwa Gigi Money Jana ni Dadaetu Johari
Mdogowangu Johari nakupenda umetoka Mbali, umesotaaa sijui umewaza nini mpaka ukaamua kufikia na kupumzika kwenye kifua cha mzungu kwa sasa
Hongera kwa Kupata Bwana wa Kizungu, hii inaonyesha dhahiri kuwa umechoka na vijana wetu wa kibongo na ahadi zao za uhongo
Alafu ni kama umepata Bingo, zungu linaonekana mambo safe, kama so expert huyo atakuwa contractor
Ila Mdogowangu kaa ujue kuwa wazungu wakitoka Ulaya kuja Africa wanajichomaga sindano, atakupiga weeee mimba haiingii ng'o! mpaka arudi kwao kuzibuliwa dawa aliochomwa
Tunakuombea Mungu Mdogowangu zungu akuwowe kweli ... lkn ukatulie mama usiwe kama Mdogowangu wa instagram buree! Nakuaminiaa dada lao
Ni hayo tu kwa Leo, sijui kesho tutaamka na nani, Bongo Jiji la Raha, acheni wahamie Mkoani tu sisi tunakula raha kama hivi... hihihihi
Habari kamili kwa video hapa chini