Joh Makini ashika namba moja MTV Base

Nusu saa mshale, Nusu Suruali, Nusu kwenye Glass,

Mawaidha ya kwenye party hakuna Leta...

Njaa tumeshaikimbiza maKm.


Sirikali Umbwa koko, Kutoka Uswazi siachi ukoko.
 
Tuweke ushabiki pembeni,nusunusu ndo the best video kwa hapa bongo! Ina deserve kwa kweli
 

Attachments

  • 1436182459027.jpg
    69.6 KB · Views: 344
mkuu nyimbo za Taarabu zinaeleweka vizuri ila huwa hazifanyi vizuri hata.
kama umemsikiliza lil wayne utakubali kuwa kuna tofauti ya kupendwa na kueleweka.

Kwel haya n maajabu...huo wimbo hauelewek hata kdogo...
 
Nusu saa mshale, Nusu Suruali, Nusu kwenye Glass,

Mawaidha ya kwenye party hakuna Leta...

Njaa tumeshaikimbiza maKm.


Sirikali Umbwa koko, Kutoka Uswazi siachi ukoko.
Sili ka li mbwa koko.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…