Joel Osteen

Nampenda sana Mtumish wa Mungu Joel Osteen. Naweza sema ameyabadilisha maisha yangu kwa 95% kama sio 100%. Anaubiri vizuri sana na always ana change - to +
 
..haya maneno ni mazuri sana.yana nguvu kwa aliyekata tamaa na hasa kwa jaribio la kwanza katika kitu chochote..
 
huyu jamaa utafiti kama upo na ID nyingine please endeleza mada zako zilikua zipo vizuri enzi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…