Jobs at Seacom | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jobs at Seacom

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Vitendo, Nov 3, 2009.

 1. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2009
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  www.seacom.mu/careers/careers.html
  watanzania tupo jamani ebu tuchangamke basi nafasi ndo hizo za kufanya kazi kwenye nchi zetu za africa na kupata pesa si lazima tunde ulaya na marekani...humu humu tu tutoke jamani mpo wadau?
   
 2. ulimboka

  ulimboka Member

  #2
  Nov 3, 2009
  Joined: Aug 23, 2009
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni habari njema mkubwa unaonyesha moyo wa kizalendo! Kuna watu niliwahi kuwajulisha nafasi za kazi gazetini na walipozama library walikuta wakubwa wametambaa na kurasa za matangazo ya kazi yaani wamezichana. Nadhani wafupi wa fikra ila kwa njia hii ya website sidhani kama wanaweza kuzihujumu.
   
 3. d

  dommidee Member

  #3
  Nov 13, 2009
  Joined: Aug 17, 2008
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kaka ni kweli bwana majuu kitu gani.ku-fight hapa hapa bongo
  kwa kweli we ni mzalendo kweli let us keep in touch.
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Watu kama hawa ni muhimu sana kwa jamii yetu! Asante mkuu
   
Loading...