JOB SEEKER.

INSIDER MAN

JF-Expert Member
Nov 7, 2018
1,822
16,799
Habar za asbh wana jukwaa, naishi dsm natafuta au naomba kazi yoyote ile ya halal ambayo itanisaidia kupata kipato hata kidogo nina hali ngumu sana ndugu zanguni. Nitashukuru sana na mungu atambariki kwa atakae guswa na hili, nina degree ya statistics so ninaweza fanya kazi kama statistician, Economist, Researchers, Projects, Plannings, accountant, logistics , procurement,Data entry etc kwa kifupi sichagui kazi yyte me nipo tayar kufanya hata za ujasiriamali. Umri wangu ni 24 na nimchapakaz mzuri hutajuta nakuahidi namba. Ahsanteni


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom