Job seeker..( it specialist).... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Job seeker..( it specialist)....

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by ITMAN, Jul 17, 2012.

 1. I

  ITMAN Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I have a bachelor of Computer science,

  Good knowledge on software development(web design and desktop application) with programming languages
  (Java, C, C++ and PHP)

  Database designing and development (Oracle and Mysql)...

  Computer maintenance and Network technician..

  Two years back graduated with several month of practical field experience, never employed...

  Serious I need to exercise my career that I can manage my life..
   
 2. I

  ITMAN Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Interested ni PM tafadhali...
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  All the bst mkuu,hope utafanikiwa.
   
 4. mtanzania in exile

  mtanzania in exile JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 245
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Ni ushauri wangu tu, jee kulikuwa na haja ya kuandika kwa kiingilishi? kama unahisi ni muhimu kutumia kiingilishi basi nakushauri wakati unazidi kutafuta kazi, tafuta mahali pa kujifunza zaidi lugha hii.
  Pia umekusudia nini ulipoorodhesha skills zako na kusema computer maintenance and network technician?
  umesema umemaliza masomo miaka miwili iliyopita (naamini ndivyo ulivyokusudia kusema) na hukuwahi kuajiriwa isipokuwa miezi michache ya field inakuwaje kuwaje sasa unajiita IT specialist? Fikiri sana usiwe unatumia maneno tu.
   
 5. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  best of luck but but hii field siku hizi tabu kupata ajira believe me.
   
 6. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  wewe nawe kwani si ni uamuzi wa mtu kuandika kingereza au kiswaili! Tatizo liko wap? Mbona kaandika vizuri, define specialist by using ur own linguistic phenominology?
   
 7. m

  mfocbsjut JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Una GPA ya ngapi?
   
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  acha kujipendekeza wewe,
  kitu gani kisichoeleweka hapo?
  unajidai mzungu, mnaboa sana wabongo...
  kaombe kipindi cha kwanza cha kiingereza ufundishe kama wewe ni mwalimu.
   
 9. I

  ITMAN Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimesoma nchi yenye francophone system under Tz government scholarship na TCU nimepita tayari...
  Francophone system wanatumia wastani sio kama Anglophone, Wastani wangu wa miaka yote ni 12.3/20
  TCU wako katika mchakato wa kubadili in GPA na tuko wengi kwenye hili, kwani hiyo nchi sasa ni kama
  wameingia mkataba wa permanent scholarship na serikali yetu....
   
 10. mtanzania in exile

  mtanzania in exile JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 245
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Niliamua kukaa kimya baada ya mtu wa mwanzo kubisha nilichosema, lakini kwa kauli yako nimeshindwa kukaa kimya. Tatizo la watanzani ni kuwa hatupendi kukosolewa, english ni dhaifu, halafu makampuni yakichukua wakenya na raia wa nchi za nje tunalalamika. Utasemaje kuwa hakuna makosa katika alichokiandika? ameandika kiswahili-english na sote tumeweza kufahamu kwa sababu tu tumesoma ujumbe wake kwa kiswahili-english. Sina muda wa kubishana na asotaka kueleweshwa lakini ona sentensi hii kwa mfano.
  Two years back graduated with several month of practical field experience, never employed...
  Inawezekana kuwa ina make sense kwa sababu ndivyo kiswahili utakavyosema, lakini jee ni sawa grammatically? jawabu ni SIO. Sina tatizo kuomba kipindi cha kwanza cha kiingereza kufundisha laiti watu kama wewe wanaodhani wanajua ilhali hawajui wangelijiunga kuja kuelimishwa. Sisemi mimi ni mtaalamu wa kiingereza au najua na kusema kiingereza sahihi, ila najitahidi kujirekebisha na kila siku kujifunza zaidi lugha hii, na nionapo mtu amekosea namkosoa, sio kwa dhihaka kama ulivyoleta ujumbe wako hapa.

  Na yule alokuja hapa na kutaka kubisha juu ya matumizi ya neno specialist na kutaka mim nimpe definition ya neno specialist sina hata la kusema. Tatizo ni lile lile watanzania tumeazima neno kutoka katika lugha nyengine na tunalitumia kwa namna tunavyotaka sisi, ambayo sio kosa, lakini unapotaka kulitumia neno lile lile kwenye lugha tulioazima neno hilo huwezi kulitumia kama tunavyolitumia kwenye lugha yetu. Ukitaka kuona maana ya neno specialist tizama kwenye dictionary au goolgle na utaona kuwa
  neno specialist daima linakuwa refered to an expert in a profession. Pia labda tizama link hii itakusaidia specialist - definition of specialist by the Free Online Dictionary, Thesaurus and Encyclopedia.

  Kwa ufupi jamaa ndio kwanza amemaliza masomo yake (miaka miwili iliyopita), hajawahi kufanya kazi katika area yeyote ile ya IT, itakuwaje awe yeye ni specialist? huyu ni graduate tu. Watu hufanya kazi katika area moja ya fani yao ya kazi kwa muda na kuwa na kuwa na uzoefu wa kutosha ndio wakaitwa specialist.

  Labda nikupe mfano, huwezi kumwita tu daktari yeyote, daktari bingwa (specialist), hiyo sio sahihi sahihi ni daktari bingwa wa moyo/ wa mifupa etc na ndio hivyo hivyo kwenye field tafauti ikiwemo IT. Mtu wa IT anaweza kuwa specialized mfano kwenye data mining, databases and criminal justice systems, forensics and IT security, system analyst, technical support, cyber crime, system designer na kadhalika.

  Sina haja ya kuendelea na somo hili
   
 11. Spinster

  Spinster JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 393
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  We nawe kafungue english course bac tukuelewe,bada ya kujib post unakosoa lugha ushakua kifimbo cheza nn?
   
 12. j

  jobseeker Member

  #12
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu mtanzania in exile, usipoteze muda wako na watu kama huyu Spinster, tatizo ni ama utoto haujawaisha au ubishi ni hulka yao.
   
 13. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 1,753
  Trophy Points: 280
  daa huwezi amini mimi nilikuwa natafuta watu kama nyinyi....ili tukae chini na kufungua KAMPUNI IT ambayo itakuwa inadeal na vitu vifuatavyo.......web design and hosting
  software installations and designing
  computer maintance and repair
  boot camp training
  electical equipment maintananceee and repair
  computer training
  computer networking
  internet services
  cha umuhimu ni kupata vifaaa na kulipia kodi ya jengo ambalo tutapanga na kufanya shughuli zetu......
   
 14. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #14
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,290
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  mkuu umenigusa, i have friends tumepanga fumgua kampuni ya hizi vitu lakini wababaishaji, nitakutafuta!

   
 15. I

  ITMAN Member

  #15
  Jul 23, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  C programming nimekusoma.....
   
Loading...