Salama jamani.
..
Wakuu kuna nafasi ya kazi kwa mtu akiyesoma au baada ya degree ya kwanza kupita chuo cha kodi (ITA) au chuo cha Usafirishaji.Kampuni moja ya uwakala wa forodha ya kitanzania inatafuta Cistoms Declaration officer
Umri miaka kati ya 22 na 35yrs.Awe mtanzania.Elimu ya degree /diploma ya Procurement and Logistics akiwa kapita chuo cha kodi au cha usafirishaji itakuwa added advantage. UZOEFU at least 2yrs on the same or related field.
Ladies are encouraged.
Kwa wenye sifa watume Cv kwenye.
recruitment2@yahoo.com