Job Opportunity..Smart Codes

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
37,226
26,639
wenye vigezo jaribuni bahati hapa

blogger-image--446539337.jpg

blogger-image--27274703.jpg
 
wanatumia kompyuta? mi sitaki kazi ambayo nitatumia hicho kidubwana.......
 
Mshahara mdogo sana kwa hiyo kazi,labda ingekuwa part time,waboreshe mafao au waseme parttime itakuwa mzuka!..
 
Mwambie Edwin aajiri mtu wa cerificate, mwenye kipaji, amtrain mwenyewe for few months, hapo atakuwa na uhakika wa kuwa na mfanyakazi atakayedumu naye hata kwa miaka 3!
 
Mshahara mdogo sana kwa hiyo kazi,labda ingekuwa part time,waboreshe mafao au waseme parttime itakuwa mzuka!..

mie kazi yangu ya kwanza nilianza na salary 200,000

unajua siku ya kwanza kupata kazi na unatamani kuacha siku hiyo hiyo.

nikapata uzoefu then Off I go ule uzoefu ukanisaidia mbele ya safari
 
200,000 nini watu tumeanza na 50,000/ siku hiyo napata ya kazi rasmi ya gross 340,000/= ilikua kama muujiza.
mwisho wa siku ilipanda hadi 1,650,000/= mwajiri huyohuyo.

Tukirudi kwenye tangazo, kuna watu wako very talented na hii fani iko kwenye damu. Akiendelea kushikilia mwenye degree kwa huo mshahara atakua anaaajiri kila siku. Kuna vijana wana certificate tu au diploma ila wanapiga code utafikiri wametoka silicon valley kwa Bill Gates.
 
ndio hivo mtu huwezi kukaa hapo muda fulani....unaendelea kusaka opportunities nyingine

I think ata consider na hao wengine na sio kukomaa na wenye digrii tu mie nilichofanya
ni kuleta humu watakaoona linawafaa waombe
 
Umefanya kazi yako, na huenda ikawa ni ufunguo wa mtu kupata mwanzo mpya wa maisha. Ubarikiwe.
 
Mambo ya mshahaqa mbele kwa mbele vijana. Pata sehemu ya kwenda asubui kuliko kukaa geto umelala. Heri mtembea bure kuliko mkaa bure. Kamata fursa..,
 
Ni kweli heaven siyo leo lakini mambo yanabadilika,hiyo kazi kwa anayejua hayo mambo akikaa mtaani akifanya hizo kazi

anapata hiyo pesa kwa kazi 1 au 2 kulingana na mteja ss umuajili mtu umpe la5 labda achukue hao freshers nao wengi

hawana hivyo vigezo.
mie kazi yangu ya kwanza nilianza na salary 200,000

unajua siku ya kwanza kupata kazi na unatamani kuacha siku hiyo hiyo.

nikapata uzoefu then Off I go ule uzoefu ukanisaidia mbele ya safari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom