delexlogistics
Member
- Nov 27, 2023
- 6
- 5
Kampuni yetu ya Delex Logistics Limited inajihusisha na usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya Tanzania (DHL Agent).
kwa sasa tunatafuta mtu mwenye uzoefu wa kufanya kazi za kutafuta wateja (Sales & Marketing Executive) ambaye awe na sifa zifuatazo:
1. Uzoefu usioungua mwaka mmoja.
2. awe anaweza kutumia vyema mitandao ya kijamii.
3. ajue kiingereza na kiswahili.
4. ajue kuendesha gari ya manual.
5. awe mtu smart na mwenye kujipenda.
MASLAHI;
Mshahara na bonus utategemea mazungumzo na maelewano.
MAOMBI:
Maombi yote yatumwe kwenye email ifuatayo;
info@delexlogistics.co.tz