Job Opportunities at TANROADS

Job Opportunities at TANROADS

Tanroads Pwani??
Tanroad sijui huaga wanatumia mfumo gan kuajir Ila watu wengi wanalalamika hawaitwi kwenye interview wala kuskia interview inafanyia lkn utaskia watu wapo Kazin.
Applicants wa Pwani na Arusha tupeana update
 
Yani ni utakuta tu watu wapo kazini daaa,,,nchi ngumu hii
 
Yani ni utakuta tu watu wapo kazini daaa,,,nchi ngumu hii
Kwa hali hiyo hatari kweli kweli, ila mie tanroads katika kuomba maombi yangu yote kupitia hizi posta au kwa Email wameniita interview mara moja tu, tena nlituma kwa email alaf Geita ila sikwenda.

Tuiteni interview na sisi huenda na sisi tukabahatisha tukapenya huko angalau tukala kitu cha per diem tunakisikia hewani tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom