Anataka ishu ya posho ijadiliwe kwa upana na kwa uwazi na kwenye kila nguzo ya serikali..mahakama, bunge, na serikali kuu!
Kwa muono wangu naona yupo sahihi, tusiwalaumu wabunge peke yao
Nilikubaliana nawewe Rejao, niliupenda mtizamo wake wa tume huru ya kuangalia posho za mihimili yote na kuweka posho zote kwa uwazi.
Nimechoka kusikiliza siasa za bongo bora niangalie gt premie league i change da channel..
Anabishana na watu ama uwezo wa Taifa
Anataka ishu ya posho ijadiliwe kwa upana na kwa uwazi na kwenye kila nguzo ya serikali..mahakama, bunge, na serikali kuu!
Kwa muono wangu naona yupo sahihi, tusiwalaumu wabunge peke yao
ndugai mmh he is like nepi
katika watu vijambio ambao huwa siwasikilizi ni mmoja wao
nimeishia kucheka tuu
SERIKALI SIYO MHIMILI.Anataka ishu ya posho ijadiliwe kwa upana na kwa uwazi na kwenye kila nguzo ya serikali..mahakama, bunge, na serikali kuu!
Kwa muono wangu naona yupo sahihi, tusiwalaumu wabunge peke yao
SERIKALI SIYO MHIMILI.
Mihimili ya serikali ni Bunge, Mahakama na Rais/watekelezaji.... hii kitu ibainishwe kwenye katiba kwani huchanganya watu wengi kana kwamba bunge si sehemu ya serikali.