Job Junction Tz

Tapeli mwenyewe kaingia kujitetea
Hawa Jamaa Wako vizuri sana ,Mimi nimepata kazi kupitia wao.

Kwanza wako wazi na wakweli unapo fika ofisini kwao.

Ukifika wanakwambia wazi kuwa huduma wanayo toa ni kukutafutia interviewees na sio kukupa moja kwa moja Ajira.
Ina maana lazima uwe vizuri kwenye kufanya interviws ,Mm nilihudhuria interviewees kama tatu ndio nikaja pata kazi.

Tatizo graduates wengi wanachagua kazi na hawana uwezo wa kufanya kazi yani kuwa productive na Hawako vizuri kwenye interviewees.

Wengi wanataka kupata ajira moja kwa moja ambalo ni jambo gumu,Maana hizo HR CONSULTANCY hazikupi ajira bali zinakukutanisha na mwajiri then mwajiri mnafanya nae negotiations yani makubaliano.

Watu wengi wanao laumu ni wale wanoshindwa kwa interviewees na wanaochagua kazi.

Ila Job Junction Tanzania wanafanya kazi nzuri sana na wamesaidia watu wengi saa
 
Back
Top Bottom