JOB interview ZA BAGAMOYO UNIVERSITY

KANCHI

JF-Expert Member
Sep 3, 2011
1,537
1,225
Jamani hizi interview zikitoka tupeane taarifa au co wana jf.
 
Cynic

JF-Expert Member
Jan 5, 2009
5,147
2,000
BAGAMOYO UNIVERSITY? Ni state university, ya kidini au ya kata?
 
Mizizi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,271
1,195
Tatizo la watz, wengi wao hawaoni kitu chochote kipya ni opportunity! Kwao kila kitu ni ubaguzi, vijineno visivyojenga, dharau na kejeli. Na ndio maana tupo hapa tulipo, na tusipobadilika hatutofika mbali!
 
Mizizi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,271
1,195
Mimi nashindwa kuelewa when u say 'cha kidini' hapa tz una maana gani! KCMC tunatibiwa sote, madoctor pale ni waislamu na wakristo, st.Augostone ni hivyo hivyo, MuM pia halkadharika. Sasa ni nini tatizo lenu watz? Mmepandikiziwa mbegu ya chuki sasa mnaendeleza kuikuza, amin nawaambia, Mnavyovidharau vina thamani kubwa sana kwenu!
 
Dariser

Member
Aug 11, 2011
36
0
Huko tuendako Udini utashamiri sana nchi hii na madhara yake itakuwa athari mbaya kwa watanzania wote kama hatutabadili mitazamo inayoongozwa na udini!
 
Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
0
Nionavyo mimi wenye kuuliza swali hapo juu wala hawana tatizo lolote. Kuuliza kwao kule maana yake ni kwamba wanayo kiu ya kutaka kufahamu juu ya kile walichojihisi kuwa upungufu nayo lakini lenye haja kwao.

Kimsingi, wewe hapo ndiye haswa mwenye makosa kwa sababu jibu sahihi unalo lakini unaendekeza ficha ficha na badala yake unaanza kuleta stereotypes zako hapa kana kwanza Mtanzania mmoja sipoendana na jinsi unavyofikiri wewe basi tayari Watanzania wote, kwa jinsi unavyoiweka wewe, ni watu ambao wote hawafai, hawana akili kutambua kitu chenye umuhimu kwetu ...

... acha hizo, jibu maswali hapo juu achana na mi-preconceptions hapa, laa sivyo ukae kabisa nyumbani kawko kama huna uwezo wa kuwashawishi watu kwa hoja hapa jukwaani.

Na mimi hapa nauliza hicho ki-BAGAMOYO UNIVERSITY ndio kitu gani tena; kimeanza lini na nani mmiliki wake - serikali, dini fulani au kata??????????????

Tatizo la watz, wengi wao hawaoni kitu chochote kipya ni opportunity! Kwao kila kitu ni ubaguzi, vijineno visivyojenga, dharau na kejeli. Na ndio maana tupo hapa tulipo, na tusipobadilika hatutofika mbali!
 
Cynic

JF-Expert Member
Jan 5, 2009
5,147
2,000
Mimi nashindwa kuelewa when u say 'cha kidini' hapa tz una maana gani! KCMC tunatibiwa sote, madoctor pale ni waislamu na wakristo, st.Augostone ni hivyo hivyo, MuM pia halkadharika. Sasa ni nini tatizo lenu watz? Mmepandikiziwa mbegu ya chuki sasa mnaendeleza kuikuza, amin nawaambia, Mnavyovidharau vina thamani kubwa sana kwenu!
Eharau na chuki???!! ... pole sana, hayo ni yako. Mimi nilitaka kujua tu. Kila mtu anajua kuna univ. za kidni, za serikali, na za kata (wazazi)
 
Cynic

JF-Expert Member
Jan 5, 2009
5,147
2,000
Huko tuendako Udini utashamiri sana nchi hii na madhara yake itakuwa athari mbaya kwa watanzania wote kama hatutabadili mitazamo inayoongozwa na udini!
Udini unakujaje hapa? Watu wengine bwana ...
 
Wakumwitu

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
372
195
Tatizo Jamii forum kuna watu ambao wako makini na maisha, na wanafunzi amabao bado wanategemea wazazi wao kwa kila kitu. Hawajui maana ya opportunities zinazo patikana kutokana na kuanzisha vyuo vikuu vingi nchini. Masalani angalia UDSM peke yake imeajili watu wangapi? na vyuo vingine vyote Tanzania. Bila kujali ni chuo cha nini na cha nani, la maana na la msingi watanzania wengi wapate elimu iliyo bora ili iweze kushindana na utandawazi. Siyo wote waliosoma UDSM, SUA, ama Mzumbe ni bora kuliko wengine. Kinachojalisha ni Productivity yako baada ya kumaliza masomo. Kwa taarifa tuu private college sehemu nyingi huwa zinafanya vizuri kuliko state college.

Samahani kama nitakuwa nimetumia Lugha kali. Lakini hatuwezi kuendelea kwa kushabikia ubaguzi wa eti chuo kiko wapi na cha nani!!!!

Mimi nashindwa kuelewa when u say 'cha kidini' hapa tz una maana gani! KCMC tunatibiwa sote, madoctor pale ni waislamu na wakristo, st.Augostone ni hivyo hivyo, MuM pia halkadharika. Sasa ni nini tatizo lenu watz? Mmepandikiziwa mbegu ya chuki sasa mnaendeleza kuikuza, amin nawaambia, Mnavyovidharau vina thamani kubwa sana kwenu!
 
fikirini

Senior Member
May 24, 2011
114
0
Sio state university, wala sio cha kidini, wala sio cha kata. Na hapa tz bado ni wachanga sana kielimu ya juu, so hata sasa bado hatuna vyuo katika ngazi ya kata kama ilivyo sekondari. chuo hiki kipo mikocheni kawe, ni cha watz wote, kipo chini ya TANLET na LHRC-legal and human rights centre
<br />
<br />
KATA
 
sirmudy

JF-Expert Member
May 12, 2010
384
250
Tatizo la watz, wengi wao hawaoni kitu chochote kipya ni opportunity! Kwao kila kitu ni ubaguzi, vijineno visivyojenga, dharau na kejeli. Na ndio maana tupo hapa tulipo, na tusipobadilika hatutofika mbali!
thats right kabisaaaaa....., yaani watu wamejaa full kejeli tu......!
 
sirmudy

JF-Expert Member
May 12, 2010
384
250
Jamani hizi interview zikitoka tupeane taarifa au co wana jf.
Hatujasikia chochote......, lkn ni mapema mno coz deadline ya kutuma application ni katikati ya mwezi huu wa tisa..... so let's wait
 
lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,481
2,000
Udini upo tangia mwanzo na hauwezi kuondolewa na kizazi kimoja bali cha msingi ni kwa kiasi gani kizazi kilichopo kimeutizama. Namaanisha 'ukiumwagilia maji' ndivyo unashamiri! Mfano ni kama njaa, ipo miaka yote lakini bidii ya kuzalisha chakula ya kizazi husika ndiyo inapima kiwango cha njaa ya kizazi hicho.
Sio vizuri watu kutumia hisia kuamua mambo lakini saa nyingine inabidi! Wasiwasi wa wengi ni kasi ya kupeleka miradi mingi ya kitaifa kwenye eneo fulani ambalo 'potentials' zake zinatia mashaka!
Huko tuendako Udini utashamiri sana nchi hii na madhara yake itakuwa athari mbaya kwa watanzania wote kama hatutabadili mitazamo inayoongozwa na udini!
 
Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,557
2,000
BAGAMOYO UNIVERSITY? Ni state university, ya kidini au ya kata?
kama tatizo lako ni kama chuo cha bagamoyo ni cha kidini au cha selikali, nakujibu kuwa hapana, si cha kidini wala si cha selikali, ila kimeanzishwa na watu wenye dini ambao ni wakristo, akina Dr.Mvungi na Prof Mahalu kama unawajua...kama ukisikia jina la mkristo tu kafanya kitu unawaza kuwa ni kitu cha kidini, basi utafikiri hivyo....pangekuwa wameanzisha kina profesa safari na wengine, si jui ungesemaje....kwani wao ni waislam...mtaishia kunung'unika hadi milele, ndo maan akikwete aliwaambia mmechelewa na kila siku mnalalamika tu hamfanyi kitu cha maana...
 
Joseph Zito

Member
May 13, 2011
15
0
kuna haja ya wana jamiii forum kubadilika mtu akiuliza swali nadhani anataka kujua kitu hasa kinachomkera!! na sidhani kama hii nisehemu sahihi ya kafanyiana mdhaha na kejeli tuwe wazi na straightforward kama issue huijui kaa kimya ujifunze kupitia wengine. muuliza swali ameuliza swali nzuri ambalo lingenufaisha na wengine pia!! soo tukue tuache ujana na utoto.... this is life jamani......let us be serious
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom